Tuesday, November 9, 2010

Nilichoka Kuona

This was on Michuzi a while ago,I stumbled upon it and remembered why i started blogging in the first place..Nilichoka kuona pia.. I think this guy took the words out of my mouth lol
Nimechoka kuona
1. Watu wanatoa misaada.

2. Picha za kufuturu.
3. Picha za siasa hasa CCM.
4. Mauzo ya magari
5. Picha za wanasiasa hasa Rais JK


6. Picha za harusi.
7. Maoni ya walala hoi wasio na elimu hata ya sekondari lakini wana Shs. 500 ya intaneti.
8. Designer wa Nguo wa Bongo. (mpaka ualikwe Paris,Ufaransa kuonyesha mavazi ndio nataka kukusoma)




                                                              
      Nataka kuona
1. Biashara gani inalipa Bongo.
2. Jinsi gani wasomi wanasaidia uchumi.
3. Lini barabara zitajengwa ili ipunguze foleni.
4. Picha za Warembo wa ukweli.
5. Contact za wafanyabiashara wanaokuja juu Tanzania.
6. Serikali wanataka wasomi gani kuwapa kazi.
7. Nini ishu ya uraia wa nchi mbili mpaka sasa?
8. Interview za wanasiasa wanaoongelea matatizo ya Tanzania na wanafanya nini na walifanya nini kusaidia watanzania wa hali ya chini.
Kuna Chochote na wewe umechoka kuona LaPrincessaWorld ...?
lol smiley face
then hit me up with more of what you want to see laprincessaworld@gmail.com

No comments:

Post a Comment