Wednesday, December 8, 2010

Guess What I found...Trend Trend!

Nilikuwa natafuta tafuta tu mambo kuhusu uhuru nikashangaa nakutana na hii kitu...
Tanzania Wash jeans...Duh!.. nimeshawahi kuona hii material lakini nilikuwa sijui Zinaitwa Super Tanzania wash.... inabidi Tumwambie mama 8020 tunahitaji hili ingizo jipya ...
Angalia hapa
 Lakini na hii material ya jeshi wanajeshi hawatatusumbua kweli?
Dakota Fanning

Kylie Minogue
Cherry Cole

Ashley jones

Gwen Stefani

Frankie Standford
Tatizo waweza piga na vi-boots vyako  Halafu ukaambiwa uchane suruali...Nimeshawahi kuuambiwa ni-chane kofia ..

No comments:

Post a Comment