Monday, March 21, 2011

Lolliondo, The Cured Ones

I've always been skeptical about Babu wa Lolliondo kwasababu nilikuwa nasema kila siku mbona watu waliopona hawajitokezi? ... Nafkiri huyu ni Mtu wa Kwanza kwenda Public about it kwamba ametibiwa na dawa ya babu wa Loliondo..Okay..This should shut me up... wapi ubishi?

Mhe. Lyatonga Mrema akitoa ushuhuda wake wa kunywa 'kikombe' cha babu na kupona ugonjwa wa Kisukari.

No comments:

Post a Comment