Sunday, June 26, 2011

Tanzanian MPs Speak on the BAE case in London

The money hasnt been paid yet so Tanzania sent more MPs to dig into it.. Come on Mister Brown..*tapsfeet* Pesa Hizi ni za walipa kodi wa Tanzania
#Drama,BAE wants to pay to the Education cause directly, Tanzanian governments wants the money in their hands first, but when you think about BAE should stop discussing how Tanzania will use this money and just give it back, if it were any other country that would be the noble thing to do.
The funny part is, The corruption cases in Tanzania are so serious that even BAE is scared to give back the money 'They stole' in fear that they will lose it to people who might re-steal it .. (You know I couldnt just let that pass)
I love what the MPs had to say about the case, In the end BAE have no right to decide what Tanzania does with they money...

Sakata la kashfa ya uuzaji wa rada kwa Tanzania kutoka kampuni ya Uingereza- BAE Systems bado inaendelea, baada ya kampuni hiyo kusita kuilipa serikali ya Tanzania fedha hizo moja kwa moja serikalini na badala yake ilipe asasi za serikali za Uingereza. Kampuni hiyo inadai kutokana na sera zake hairuhusiwi kuilipa serikali na hivyo njia mbadala ni kupitia mashirika hayo. Kampuni ya BAE imetakiwa kuilipa Tanzania fidia ya paundi milioni 29.5 baada ya kuiuzia Tanzania rada kwa gharama ya paundi milioni 41 za Uingereza wakati bei halisi ilikuwa paundi milioni 12. Ujumbe wa wabunge watano wakiongozwa na naibu spika wa Tanzania Bw Job Ndugai wamefika nchini Uingereza kuishinikiza kampuni hiyo kuilipa serikali ya Tanzania. URBAN PULSE inakuletea mahojiano na waheshimiwa Wabunge kutoka Jamhuri ya muungano Tanzania
Source: Urban Pulse

No comments:

Post a Comment