Thursday, April 14, 2011

A Picture can say a Thousand words

No one in the corner got swagger like us
For some reason, I just thought of that song... Random thought.... What song came to mind on first sight of the image?
Smile!
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida Ndg.Joram Allute,Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu Mhe. Steven Wassira, Mbunge wa Sindiga Mjini Mhe. Mohammed Dewji pamoja na Mbunge wa Bumbuli ambaye pia ni Katibu wa CCM Idara ya siasa na Mahusiano ya Kimataifa Mhe. January Makamba wakiwa katika pozi mara baada ya kumalizika kwa kikao cha Halmashauri kuu ya Taifa Mjini Dodoma...MO Blog

No comments:

Post a Comment