UMABE Arts
Habari za leo wadau wote popote Duniani, kwanza tunapenda kuwapa mkono wa heri ya mwaka mpya 2011.Tunapenda kuwakaribisha nyote katika Web Blog yetu inayo jishughurisha na Sanaa za aina zote kama vile Muziki,maigizo,Filam nk, kwa ujumla mengi Mtayaona mtakapo tembelea Tovuti yetu. Pia tunaomba ushirikiano wenu kwani tunaamini sisi kama sisi hatujitoshelezi bila nyinyi wadau wetu. tunapenda kutanguliza shukurani zetu na karibuni sana.
WAKO KWA NIABA YA KAMPUNI
FREDY NJEJE
PROJECT AND DESIGN MANAGER
UMABE ARTS COMPANY LTD
Jina la Blog: UMABE ARTS
LINK: umabearts.blogspot.com
kwa Pamoja tunaendeleza harakati za sanaa na wasanii Nchini.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment